ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, April 23, 2018

LIVE - RAIS MAGUFULI KATIKA UZINDUZI WA JENGO LA PSPF NA TAWI LA NMB, DODOMA


Rais Magufuli leo Aprili 23, 2018 anashiriki uzinduzi wa jengo jipya la Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) akiwa ndiye mgeni rasmi. Ujenzi wa jengo hili mpaka hatua hiyo umegharimu Tsh. Bilioni 30.5. Mbali na jengo hilo Rais Magufuli pia anazindua tawi jipya la Benki ya NMB Kambarage. Hii ni sehemu ya ziara yake mkoani humo aliyoianza leo kuelekea Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Azam TWO.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.