ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 15, 2017

WASEMAVYO JEMBE DJYz KUELEKEA 'KIK OF PARTY 2017' CHINI YA KINYWAJI MARIDHAWA 'JACK DANIELS'

 DJ K-FLIP
 DJ MIKE BEATZ
 CHRISS THE DJ
 DJ SCORPION
 DJ JACKO
With Live perfomance kutoka WCB's. @Rayvanny.
Ni Muda wetu huu jicho kwa jicho na Party la Kijanja na La mvuto wake Ndani ya Rock City
MCHONGO Uko Hivi Tarehe 25 Nov 2017 mahali @theCaskbar&Grill

Jackdaniels Holiday Season ONe KICK OFF PARTY Kwa Mara ya Kwanza ndani Ya Mwanza...With Live perfomance kutoka WCB's. @Rayvanny na Ma-Suprizes kibaao kutoka @jembenijembe @jembefm
Huku kwenye Wheels of steels kundi bora la Djz kutoka @Jembefm JEMBEDJZ watakata Kiu ya Burudani Unakosaje sasa?? Mlangoni utaacha 10k powered by @vodacomTanzania @Coca_Cola @jembenijembe #jackDaniels ....
Get your ticket now..
 Sikiliza 93.7 @Jembefm kwa Ma infozz.. zaidi wapi unaweza pata ticket yako... @wcb_wasafi @gsengoTv #wcb #Mwanza

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.