Magufuli
atoa ajira kwa madaktari 258, Usalama wa taifa wazuiwa Bungeni,
Daladala yagonga treni Dar mmoja afariki, Mtei amfurahia rais Magufuli.
Spika Ndugai aagiza hotuba za upinzani Bungeni zifuatiliwe, Madaktari
258 Kenya waajiriwa Tanzania, Wabunge wahofia njaa. Habarika na dondoo
hizi za magazeti ya leo hapa.
Je, maadili ya matibabu ni yapi?
-
Kumekuwa na mjadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu video ya daktari wa
Kisomali ambaye alirikodi video ya moja kwa moja kwenye akaunti yake ya
TikTok, a...
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.