ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 19, 2014

MMILIKI WA LINAS CLUB BUKOBA AFARIKI DUNIA

Enzi za uhai wake katikati ni marehemu Mtensa Leonard ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Linas Night Club akiwa na fundi wa Clouds Fm Daudi Lembuya (kushoto) na Albert G. Sengo hivi karibuni katika maandalizi ya Fiesta mjini Bukoba. 
Tunasikitika kupokea taarifa za kifo cha ndugu yetu Mtensa Leonard kilichotokea usiku wa kuamkia leo Nov 19,2014 Mjini Bukoba, ifuatayo ni taarifa ya Jeshi la Polisi. 

Inasikitisha sana kifo cha huyu bwana Leonard Mtensa kilichotokea ndani ya gari lake, mpenzi wake anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi. 
TUTAWAPA TAARIFA ZAIDI.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.