Kombora la Israel laipiga Iran, huku milipuko ikisikika katikati mwa nchi
-
Kombora la Israel limeipiga Iran, maafisa wa Marekani wamekiambia kituo
mshirika wa BBC CBS News.
1 hour ago
Baadhi ya wachungaji na maaskofu wakifuatilia yanayojiri ndani ya kanisa. |
Baadhi ya wachungaji na maaskofu wakifuatilia yanayojiri ndani ya kanisa, kwa mujibu wa mmoja wa wasemaji wao alitanabaisha kuwa wameahirisha kutoa tamko lao mpaka siku ya jumatatu. |
Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF Taifa ambaye pia ni Waziri wa Afya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar Juma Duni Haji akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza hii leo asubuhi. |
Sehemu ya wandishi wa habari waliohudhuria kikao cha mazungumzo na Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF Taifa. |
Na ujumbe ulihusishwa. |
Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF Taifa ambaye pia ni Waziri wa Afya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar Juma Duni Haji akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza hii leo asubuhi. |
Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF Taifa ambaye pia ni Waziri wa Afya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar Juma Duni Haji akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza hii leo asubuhi. |
Bondia Antony Mathias (kushoto) akitunishiana misuri na Fadhili Majia baada ya kupima uzito, Dar es salaam kwa ajili ya mpambo wao kesho utakaofanyika katika ukumbi wa CCM Tandare. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com) |
Obama akiapishwa aliwaambia wamarekani kuwa huu ndio wakati wa kijiimarisha kama nchi hasa baada ya kukabiliana na changamoto kama za kiuchumi na afya |
Obama na makamu wake wa rais Joe Biden |
Sasha na Malia Obama nao hawakuachwa nyuma wakati wa sherehe hizo. |
Wakati wa densi. |
Baada ya sherehe wageni walitumbuizwa lakini hapa Obama na mkewe walipata fursa ya kucheza densi na wanajeshi. |
Beyonce alikuwepo pia kuwatumbuiza watu waliofika kumpongeza Obama. |
Mamia walijitokeza ili wasikose fursa ya kushuhudia jambo la kihistoria la kuapishwa kwa rais mweusi mara ya pili. |
Obama na mkewe Michelle wakiwaamkua wananchi waliofika kumpongeza. |
Obama na mkewe waliandaliwa dhifa ya jioni baada ya shereh hizo. |
Gwaride la jeshi. |
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga akiwa sambamba na mke wake,ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni bingwa ya burudani hapa nchini,ya Prime Time Promotions Ltd,Johayna Kusaga,akizungumza mbele ya wafanyakazi mbalimbali wa kampuni hiyo waliokutana usiku huu kwenye hafla fupi (hawapo pichani) ya kuukaribisha mwaka na kuzungmza mambo mbalimbali ikiwemo na mafanikio yaliyopatikana mwaka jana,pia kuwashukuru kwa ushirikiano wao mkubwa ambao wamekuwa wakionesha kwenye kampuni hiyo kwa ammoja. |
Boss Joe akiwaomba wafanyakazi wote wazinyanyue glassi zao za vinywaji juu na kuzigonganisha kwa pamoja kuonesha upendo,mshikamano na ushirikiano.Baada ya hapo Wafanyakazi walipewa ruksa ya kula kunywa na kujimwaya mwaya. |
Shampeni ikimiminwa baada ya kufunguliwa. |
Eprahim Kibonde akimminia kinywaji aina ya Shampeni meneja wa vipindi Sebastian Maganga baada ya kufunguliwa,ikiashiria kuwa hafla ya kunywa,kula imefunguliwa rasmi usiku huu huku baadhi ya wafanyakazi wa Clouds Media wakishuhudia tukio hilo. |
Mtangazaji wa kipindi cha power breakfast,Gerald Hando akizungumza jambo mbele ya Wafanyakazi wenzake usiku huu kabla ya kufungua shampeni,wa pili kulia ni Barbra Hassan,B Dozen,Eprahim Kibonde,Millard Ayo pamoja na Dina Marious. |
Dj Zero akiangusha ngoma live ndani ya kiota cha maraha cha Escape 2 usiku huu. |
Baadae wafanyakazi wa Clouds Media Group walianza kupata chakula cha pamoja kama uonavyo pichani. |
Kulia ni Paul James a.k.a PJ,Suka,Dj Steve B pamoja na Dj Peter Mo wakipata msosi huku wakibadilisha mawazo usiku huu ndani ya kiota cha Escape 2 |
Dj Mayanga akiangusha ngoma za kufa mtu usiku huu ndani ya Escape 2 |
Pichani kulia ni Dj Venture,Gerald Hando pamoja na Mdau mwingine. |
Kulia ni Dj Too Shot,Dj Bulla akiw ana Mdau kimapozi ndani ya picha. |
Mmoja wa watangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,Paul James a.k.a PJ akifurahia jambo na Meneja vipindi wa clouds FM,Sebastian Maganga usiku huu ndani ya kiota cha maraha cha Escape 2. |
Dj PQ aliyekaa wakipiga stori na sebastian Maganga pamoja na PJ. |
Mzee wa Kipindi Cha Jahazi,Eprahim Kibonde na mdau mwingine wakipata vitu laini laini safi kabisa. |
Ilikuwa ni full kujichana, kula kunywa na kufurahi pamoja ikiwa ni sehemu ya hafla usikuu huu ndani ya Escape 2. |
Dada Regina Mwalekwa akiwa amepozi na Bonge Barabarani. |
Cheersssss.. |
Pichani kulia ni mdau mkubwa wa Clouds Media Group,Dauda wa Kota akifurahia jambo na Dada Regina Mwalekwa. |
Sehemu ya kikosi kazi cha Clouds Tv wakishangilia jambo. |
Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Tanzania akifafanua jambo jinsi wateja wa Airtel watakavyofaidika na huduma ya punguzo la gharama za maongezi hadi senti 10 kwa sekunde |
Wateja wa airtel sasa kupeta kwa senti 10 kwa kupiga simu baada ya dakika ya pili ya maongezi. Huduma hizo imezinduliwa leo makao makuu ya Airtel Tanzania |
Meneja Masoko wa Airtel Tanzania Rwebugisa Mutahaba akifafanua jambo jinsi wateja wa airtel watakavyoweza kufurahia punguzo nafuu ya la senti10 kwa sekunde baada ya dakika ya pili kuanzia leo |
Wataalamu wa Airtel kitengo cha masoko na Mawasiliano wakionyesha vipeperushi vitakavyotumiwa kuelimisha jamii juu ya punguzo hilo wakiwa kwenye bonge la pozi. |
Baadhi ya wafanyakazi wa airtel wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa punguzo gharama za huduma ya kuongea yaa Airtel-airte hadi senti 10 kwa sekunde baada ya dakika ya pili |
Mfanyakazi wa Airtel kitengo cha ugavi akielezea kufuruahishwa na punguzo la kupiga simu kwa senti 10 baada ya dakika ya pili wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma hiyo leo ktk ofisi za Airtel dar |