ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 13, 2013

BAADA YA MIAKA 13 YA HUDUMA SAMONA YAENDELEA KUTAKATISHA WAKAZI WA KANDA YA ZIWA.

Mtangazaji wa Passion Fm Philbert Kabago (kulia) akimkabidhi zawadi ya Epron Dickson Msenda aka Dizzo Man mkazi wa Luchelele, mara baada ya kushinda kupitia maswali yaliyokuwa yakiulizwa redioni ndani ya kipindi cha Michano Time kuhusu bidhaa za Samona. 

Mtangazaji wa Passion Fm Philbert Kabago (kulia) akimkabidhi zawadi ya T-shirt  Mr. Cleva Man ambaye ni fundi ujenzi kutoka Mayanja Camp Mkudi mwanza anayetumia mafuta ya Samona kulainisha ngozi na mikono yake mara baada ya kazi.

Hii ni promosheni ya bidhaa za Samona zinazosambazwa na Lakairo Investiment Co. LTD iliyofanyika viwanja vya mnada  wa Kiloleli Mwanza.

Wanafunzi nao ni sehemu ya jamii watumiaji wa mafuta na sabuni ya Samona nao wamefurika eneo hili kushuhudia promosheni hii.

Kujitosa kulikuwepo na hapa bidada akijituma jukwaani kuonyesha maufundi katika kucheza muziki wa Ragga....



Wananchi waliojitokeza kushuhudia promosheni eneo la Kiloleli .

Ni wakati wa zawadi kwa aliyeonyesha maufundi...na hapa alikuwa akipewa  zawadi moja baada ya nyingine.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.