Watoto hawa walikuwa wakitega samaki kwa kutumia ndoano hatimaye wamenasa kuku maji.
Mie katika kijiji cha wavuvi wilayani Nyamikoma Magu mkoani Mwanza.
Michezo ya watoto ufukweni.
Pozi la kurejea toka shambani baba jembe mkononi mama kuni kichwani na mbwa mlinzi.
Wavuvi bado hawajatia utii nyavu zisizo ruhusiwa.
Usafishaji nyavu na uanikaji.
Nyavu anikoni.
Enzi za NCU Bandari hii ilikuwa bize kwa kusafirisha pamba nchi mbalimbali afrika mashariki lakini hii leo eneo hili limegeuka sehemu ya kuanikia dagaa.
Style ya kuanika dagaa.
WAKULIMA KUNUFAISHWA NA (TBL) KUPITIA MASOKO YA KIKANDA
-
KAMPUNI ya Tanzania(TBL) imedhamiria kuwasaidia wakulima nchini kwa
kutambua uwezo wao wa kulisha watu, viwanda, na biashara katika ukanda huu
kupitia mika...
5 hours ago